Artist: Dizasta Vina
Lyrics of Artist: Dizasta Vina
  1. [Lyric] Muscular Feminist (Dizasta Vina)

    Dear boys dear… men Ni sisi wasichana kina dada, mabinti na mama zenu Tunaongea kutoka upande wa chini, upande mbali upande kutoka usawa wenu Upande nilipo msichana kuna hitilafu ‘So’ sikio lako thabiti ni ushindi kwangu Ninayotaka kusema hapa sio siri katu Ili ujue nina vingi vya ku-offer kabla ya mwili wangu Kwa miaka mingi nimeishi...Learn More
    rapDizasta Vina
  2. [Lyric] Miss Tamaduni (Dizasta Vina)

    Verse 1 Yo! eyo, Najawa na hisia Kila upepo unapopita nimeshachoka kulia Hakuna malkia aliyenishika kama huyu Wengi walikuja wakasepa Walijaa wakachuja sasa wanavuja kama necta Haihitaji kibito kuamini nampenda Nami sihitaji jicho wala denda Hanivulii kama new star, uso wa screen show Sipendi kucheza na love kama keyboard Yeah, cheki shingo ya...Learn More
    rapDizasta Vina
  3. [Lyric] Tomorrow (Dizasta Vina)

    Verse 1 Kesho nafasi ya kuanza upya Kumaliza kuishi nafasi ya kuanza kufa Kuivunja sheria nafasi ya kufuata ruksa Kuikumbuka jana au kuanza kuifuata future Future ni leo siku ambayo miti hukimbia Jua hushuka upendo, marafiki hufifia, (hufifia) Wimbi la wanafiki huingia Kesho ya tumaini hubakia Tumaini, shika walau shika walau Na ujifunze kuziba...Learn More
    rapDizasta Vina