Artist: Yzhood
Lyrics of Artist: Yzhood
Lyrics of Artist: Yzhood
[Lyric] Karibu (Yzhood)
Yzhood what it do Yoaw yoaw Karibu huku jiji Shika na kiti jiskie fiti Ndio maisha ya jiji Ngoma itachezwa ka kawa Cheza kama wewe Kulewa lazma tulewe Kunywa tu we bwana Mshike mtu naucheze Eeh Leo tukeshe Eeh Leo tukeshe uuuh Tukanesha Leo ni Kesha Pin location Buda boss cheza Tesa, cheza Lewa, lewa ,lewa uuuh Uuuh uuuuh Yeaaai Uuuh...Learn MorepopYzhood