Artist: Raptor El Shariff
Lyrics of Artist: Raptor El Shariff
  1. [Lyric] BASI (Raptor El Shariff)

    INTRO Licha ya kumthamini Akaona mi simfai Sababu ya yule mwafulani Ndiyo maana anajidai Mara atanitukana mara ataniblock Hivi Matusi ya Nini? Haya yangu machungu Moyo wangu mi mchungu Liko wapi langu fungu? Siwezi jibizana ila namwachia Mungu Yeye ndiye mwenye hukumu Kwenye mapenzi ya kudumu CHOROUS Basi ,Oh Basi!Isijekuwa mikosi OUTRO Hivyo...Learn More
    rbRaptor El Shariff
  2. [Lyric] KILIO (Raptor El Shariff)

    INTRO NAJUA JUA LIMESHAZAMA NAMI NIMEKWISHA KUCHELEWA RIZIKI KWELI MAFUNGU SABA NAMI YA KWANGU SIJAJAALIWA SIO KAMA HATUPENDANI ILA MIPANGO HAIENDANI UTABAKI KUWA MY NO ONE IJAPOKUWA HATUOANI CHORUS HIKI KILIO MAMA KILIO X3 ULOCHOMEKA NI MOYO WANGU MILELE UNGEKUWA WANGU MMH OUTRO TULOYAPANGA HAYAJAFANA NI BORA HERI TUNGEZIKANA UZAE TUWE BABA...Learn More
    rbRaptor El Shariff