Song: BASI
Year: 2021
Viewed: 0 - Published at: 2 months ago

INTRO

Licha ya kumthamini
Akaona mi simfai
Sababu ya yule mwafulani
Ndiyo maana anajidai
Mara atanitukana mara ataniblock
Hivi Matusi ya Nini?

Haya yangu machungu
Moyo wangu mi mchungu
Liko wapi langu fungu?

Siwezi jibizana ila namwachia
Mungu
Yeye ndiye mwenye hukumu
Kwenye mapenzi ya kudumu

CHOROUS

Basi ,Oh Basi!Isijekuwa mikosi
OUTRO

Hivyo vijikokopa ya nini masimango?
Mwili unakondakonda ndiyo kwanza bado
Oh Basi , Basi acha niende zangu Mama

Ndugu zake nawafahamu akina sadamu
Ila walinitoka hamu waliponipanga kwa zamu
Oh Basi, Basi acha niende zangu Mama

( Raptor El Shariff )
www.ChordsAZ.com

TAGS :