Artist: Vijana Wenye Nguvu
Lyrics of Artist: Vijana Wenye Nguvu
Lyrics of Artist: Vijana Wenye Nguvu
[Lyric] Washangaze (Vijana Wenye Nguvu)
VERSE #1 Baba, twaja kwako Hmmm Matatizo yetu yote, twayaleta kwako Maadui wetu wote baba, washangazwe. Nimengi walio tutengea, wameshindwa Baraka zetu zitokazo juu mbinguni Washangazwe, unavyo tubariki Mahendeleo ya kazi yako yapatikana Ehhh Hmmm CHORUS: Maadui zako watahona ufanikiwavyo, wakutegeayo ndiyo baraka zako za kesho. Vicheko...Learn MorerbVijana Wenye Nguvu[Lyric] Nimebadilishwa (Vijana Wenye Nguvu)
Verse #1 Nilipokuwa chini, yeye kaniinuwa. Wakati wangu wa shida kanifariji ( Marvelous love ) Upendo waku shangaza ( Marvelous love) Hmmm… Ninaishi kwa Neema yake Mungu Ninaishi kwa Neema Ninaishi kwa Neema aah… Kwa Neema, kwa Neema Chorus: Kwa Neema tumeokolewa, aah, aah, aah Sio kwamatendo, bali ni zawadi kutoka kwa Mungu. Maana sisi...Learn MorepopVijana Wenye Nguvu