Song: Washangaze
Year: 2022
Viewed: 5 - Published at: 2 years ago

VERSE #1

Baba, twaja kwako

Hmmm

Matatizo yetu yote, twayaleta kwako
Maadui wetu wote baba, washangazwe. Nimengi walio tutengea, wameshindwa

Baraka zetu zitokazo juu mbinguni Washangazwe, unavyo tubariki

Mahendeleo ya kazi yako yapatikana

Ehhh

Hmmm

CHORUS:

Maadui zako watahona ufanikiwavyo, wakutegeayo ndiyo baraka zako za kesho. Vicheko hmm maishani mwako
Akuna kitakacho kuzuwia wewe kaza mwendo X2

Hmmm

VERSE #2

Maneno yako yanipa hekima yakuwa ndani yako

Nitapiga vita

Nitashinda wote, waje kwanjia moja. Kwanguvu zako watasambaa kwanjia saba. Ma adui wote awata niweza. Mafanikio yangu kwako yapatikana

Ehh ehh ehh… ohh, hmm

Ehhh, hmm

VERSE #3

Sasa maadui zangu wote jueni, ninaye simba wakabila la yuda ndiye Yesu

(Mfalme wawanani)

Mfalme wawafalme

(Ndiye nani)
Ndiye bwana

Ataweza kubadilisha mahisha yetu

(Ehhh)

Ehhh

Atuwa zangu ni yеye anajua, atuwa zetu ni yeyе anajua

Woah woah…

CHORUS:

Maadui zako watahona ufanikiwavyo, wakutegeayo ndiyo baraka zako za kesho. Vicheko hmm maishani mwako

Akuna kitakacho kuzuwia wewe kaza mwendo X2

Hmmm

( Vijana Wenye Nguvu )
www.ChordsAZ.com

TAGS :